0

Nimeikuta mahala:
Haya ndio mambo nayo yafahamu kuhusu TANZANIA
1. Kwa miaka 50 hii inchi imeongozwa na chama cha ccm peke yake.
2. Tz ina ukubwa wa 945,000 km squarer yani sawa na ukubwa wa Denmark,France,United kingdom(uk),Netherland,Ireland
ujumlishe zote kwa pamoja.
3. Tz ni nchi ya tatu kwa uzalishaji dhahabu afrika na ipo top 20 duniani 
4. Tz ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee inayozalisha madini ya tanzanite duniani.
5. Tz ina migodi pia ya almasi,uranium kule dodoma ambao unamilikiwa na warusi,chuma kule lganga na mchuchuma mbeya ambacho kimechanganyika na tatinum ambacho kilo 1 ni karibia laki moja.
6. Tz ina hifadhi ya makaa ya mawe kule mbeya,tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa 1,424 kilometers bahari inaleta fursa za usafirishaji,uvuvi,utalii na nyinginezo,
7. Tz ina maziwa makubwa manne na mengine madogo pia mito mengi ya kutosha.
8. Tz ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii duniani.
9. Tz ina mbuga zipatazo 16 na ikiwemo na ile mbuga maarufu duniani Serengeti na mlima mrefu kuliko wote Africa,
10. Tz ni nchi ambayo hajawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi,magonjwa ebola,mafuriko na vimbunga au ukame.
11. Tz ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho nnchi za Africa zimekikosa AMANI kwa miaka yote 50 ya uhuru hajawahii kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.
12. Tz ni nchi ambayo imepakana na nchi ambazo hazima bahari ambazo zinaetegemea kwa usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu,
13. Nadhani kila mtz anajua juu ya sifa ya Tanzania kwenye swala ya kuwa na ardhi ya rutuba inayofaa kwa kilimo
Pamoja na sifa zote hizi Lakini Tz ni nchi iliyokwenye kundi la nchi maskini ambao asilimia kubwa ya wananchi wanaishi chini ya dola moja Tatizo ni nini?Ni nani aliyesababisha?

Jibu jepesi tatizo ni ccm tupambane mwisho wake October mwaka huu

Post a Comment

 
Top